Ruka hadi maudhui

Hali ya majaribio: rekodi zenye alama ya "Mfano" ni za kujaribu muundo tu, si taarifa rasmi.

TANCCOOPSLTD Cotton Co-operatives Joint Enterprise

Biashara na Huduma

Ukusanyaji na Uuzaji wa Pamba

Kupokea, kukusanya na kuuza pamba mbegu na bidhaa za vyama wanachama.

Huduma hii inajumuisha

  • Kupokea na kukusanya pamba mbegu kutoka vyama wanachama
  • Kuuza bidhaa za kilimo na maliasili za vyama wanachama
  • Kuongeza idadi na kiwango cha bidhaa katika soko la mazao ya kimkakati

Taratibu na gharama

Kwa taratibu, gharama na utaratibu wa kupata huduma hii, wasiliana na ofisi ya makao makuu. Maelezo rasmi yatachapishwa hapa.

Huduma nyingine

Usindikaji na Uhifadhi

Kuhifadhi na kuchakata mazao, pamoja na kuendesha majengo, mitambo na viwanda.

Fahamu zaidi

Pembejeo na Zana za Kilimo

Kununua, kuhifadhi, kuchakata na kusambaza pembejeo na zana za kilimo kwa vyama na wakulima.

Fahamu zaidi