Ruka hadi maudhui

Hali ya majaribio: rekodi zenye alama ya "Mfano" ni za kujaribu muundo tu, si taarifa rasmi.

TANCCOOPSLTD Cotton Co-operatives Joint Enterprise

Uongozi

Muundo wa Uongozi wa TANCCOOPS

Mgawanyo wa mamlaka kuanzia Mkutano Mkuu wa Mwaka hadi idara na vitengo.

Chagua sehemu yoyote ya muundo kuona maelezo yake.

Chanzo: nyaraka rasmi za TANCCOOPS LTD.

Uongozi

Bodi ya Uongozi

Bodi ya uongozi inaundwa na jumla ya wajumbe watano (5) kutoka vyama wanachama.

  • LL Leonard W. Lyabalima Mwenyekiti
  • NC Naomi M. Chaba Makamu Mwenyekiti
  • JN Joseph M. Ngelya Mjumbe wa Bodi
  • NL Ndaro M. Lubunda Mjumbe wa Bodi
  • LM Limbu H. Maduhu Mjumbe wa Bodi