Ruka hadi maudhui

Hali ya majaribio: rekodi zenye alama ya "Mfano" ni za kujaribu muundo tu, si taarifa rasmi.

TANCCOOPSLTD Cotton Co-operatives Joint Enterprise

Biashara na Huduma

Uwekezaji

Kununua hisa na kuwekeza katika taasisi na vyombo vya kiuchumi kwa idhini stahiki.

Huduma hii inajumuisha

  • Uwekezaji katika taasisi za umma na binafsi
  • Umiliki wa ardhi, majengo na mitambo
  • Kwa idhini ya Mkutano Mkuu na Mrajis wa Vyama vya Ushirika

Taratibu na gharama

Kwa taratibu, gharama na utaratibu wa kupata huduma hii, wasiliana na ofisi ya makao makuu. Maelezo rasmi yatachapishwa hapa.

Huduma nyingine

Usindikaji na Uhifadhi

Kuhifadhi na kuchakata mazao, pamoja na kuendesha majengo, mitambo na viwanda.

Fahamu zaidi

Pembejeo na Zana za Kilimo

Kununua, kuhifadhi, kuchakata na kusambaza pembejeo na zana za kilimo kwa vyama na wakulima.

Fahamu zaidi